JIFUNZE
KUBADILIKA, JIFUNZE KUFIKIRI, JIFUNZE KUTENDA, JITIE ROHO YA MUNGU, AMINI
KUPATA NA KUKOSA.
SOMA
KUSOMEKA!!!!!!!!
ALEX ni kijana mwenye umri wa miaka 30.Ana shahada ya uzamili (Masters) ktk
masuala ya Usimamizi wa biashara, na kwa sasa anafanya kazi kama Mkurugenzi wa
fedha kwenye shirika moja lakimataifa hapa nchini.Hajaoa bado, lakini ana