Saturday, 1 October 2016

ROZARI YA MAMA BIKIRA MARIA

                  ROZARI YA MAMA BIKIRA MARIA

YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif




Rozari%20MBM.png
MAELEZO YA JUMLA
Anza kusali Rozari kwa kuibusu miguu ya Bwana Yesu katika taswira (picha) yake Msalabani kisha fanya Ishara ya Msalaba (gusisha msalaba huo kwenye paji la so, kifuani, bega la kushoto na kwa kutumia msalaba wa rozari takatifu huku ukiwa unasema “Kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina”.
Taja kwa ufupi nia za Rozari hii. Tangaza nia hizo kwa sauti kama mnasali wengi kwa pamoja, Mfano, “Tusali kuombea amani katika nchi yetu na ulimwenguni kote" au tutolee rozari hii kuwaombea wagonjwa wetu: au :tuwaombee wote walioomba tuwaombee" nk. Hiyo ni mifano tu. Au unaweza kutoa mambi kuendana na tendo lililotangazwa kwenye kumi husika la tendo la rozari, au namna nyingine itakayofaa.
Baada ya Sala ya Nasadiki pamoja na ya Baba Yetu, tunamwomba Mungu (Utatu Mtakatifu) fadhila za Imani, Matumaini na Mapendo, zikiambatana na Salamu Maria tatu. Mojawapo ya maneno yafuatayo hutumika:
“Mungu Baba utuongezee Imani. Salamu Maria, …… Mungu Mwana utuongezee matumaini, Salamu Maria, …… Mungu Roho Mtakatifu washa nyoyo zetu kwa mapendo yako, Salamu Maria, …..”
Au;
“Utuongezee Imani ee Bwana, Salamu Maria,…. Utuongezee matumaini ee Bwana, Salamu Maria,…. Uwashe nyoyo zetu kwa mapendo yako ee Bwana, Salamu Maria, …..”
Au;
“Salamu e uliyechaguliwa na Mungu Baba, Salamu Maria,….. Salamu e Mama wa Mungu Mwana, Salamu Maria,….. Salamu e Mchumba wa Mungu Roho Mtakatifu, Salamu Maria,……”
Nk.

SALA ZA ROZARI TAKATIFU
KANUNI YA IMANI
Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi, mwumba mbingu na dunia. Na kwa Yesu Kristu, Mwanaye wa pekee, Bwana wetu; aliyetungwa kwa Roho Mtakatifu, akazaliwa na Bikira Maria, akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akashukia kuzimu; siku ya tatu akafufuka katika wafu; akapaa mbinguni; amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi; toka huko atakuja kuwahukumu wazima na wafu. Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Kanisa takatifu katoliki, ushirika wa Watakatifu, maondoleo ya dhambi, ufufuko wa miili, uzima wa milele. Amina.

BABA YETU...
Baba Yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe; ufalme wako ufike, utakalo lifanyike, duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku, utusamehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi, lakini utuopoe maovuni. Amina

SALAMU MARIA...
Salamu Maria, umejaa neema, Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Na Yesu Mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.

ATUKUZWE BABA...
“Atukuzwe Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu, kama mwanzo na sasa na siku zote, na milele, Amina”;

EE YESU WANGU...
Ee Yesu wangu, utusamehe dhambi zetu, utuepushe na moto wa milele, ongoza roho zote mbinguni, hasa za wale wanaohitaji huruma yako zaidi”;

TUWASIFU...
“Tuwasifu milele, Yesu, Maria na Yosef”.

DAMU YA KRISTU..
Damu ya Kristu, iziopoe roho zinazoteseka toharani, izitie nuru ya uzima wa milele. Amina.
Au;
RAHA YA MILELE..
Raha ya milele uwape ee Bwana, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani. Amina.

NB: Kama muda unatosha uimbwe wimbo wa Bikira Maria japo ubeti mmoja kabla ya kutangaza tendo linalofuata (kila baada ya makumi mamoja)

MATENDO YA ROZARI TAKATIFU

MATENDO YA FURAHA (Jumatatu na Jumamosi)

Tendo la kwanza; Malaika Gabrieli anampasha habari Maria kuwa atakuwa Mama wa Mungu. Tumwombe Mungu atujalie unyenyekevu.
Tendo la pili; Maria Mtakatifu anakwenda kumtembelea Elizabeti. Tumwombe Mungu atujalie mapendo ya jirani.
Tendo la tatu; Yesu anazaliwa Betlehemu. Tumwombe Mungu atujalie moyo wa ufukara
Tendo la nne; Yesu anatolewa hekaluni. Tumwombe Mungu atujalie usafi wa moyo.
Tendo la tano; Maria anamkuta Yesu hekaluni. Tumwombe Mungu atujalie kuwatii wakubwa wetu.

MATENDO YA UCHUNGU (Jumanne na Ijumaa)

Tendo la kwanza; Yesu anatoka jasho la damu kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie sikitiko la dhambi.
Tendo la pili; Yesu anapigwa kwa mijeledi kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kuacha dhambi za uchafu.
Tendo la tatu; Yesu anatiwa miiba kichwani kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kushinda kiburi.
Tendo la nne; Yesu anachukua Msalaba kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kuvumilia taabu.
Tendo la tano; Yesu anakufa Msalabani. Tumwombe Mungu atujalie kuwapenda Yesu na Maria.

MATENDO YA UTUKUFU (Jumatano na Jumapili)

Tendo la kwanza; Yesu anafufuka. Tumwombe Mungu atujalie kugeuka watakatifu.
Tendo la pili; Yesu anapaa mbinguni. Tumwombe Mungu atujalie kwenda mbinguni.
Tendo la tatu; Roho Mtakatifu anawashukia Mitume. Tumwombe Mungu atujalie bidii katika dini yetu.
Tendo la nne; Bikira Maria anapalizwa mbinguni. Tumwombe Mungu atujalie kufa vizuri.
Tendo la tano; Bikira Maria anawekwa Malkia mbinguni. Tumwombe Mungu atujalie kudumu katika njia njema.

MATENDO YA MWANGA (Alhamisi)

Tendo la kwanza; Yesu anabatizwa Mto Jordani. Tumwombe Mungu atujalie uaminifu kwa ahadi zetu za ubatizo.
Tendo la pili; Yesu anageuza maji kuwa divai huko Kana. Tumwombe Mungu atujalie kuukoleza ulimwengu kwa chachu ya enjili.
Tendo la tatu; Yesu anatangaza Ufalme wa Mungu. Tumwombe Mungu atujalie kupokea Ufalme wake kwa toba ya kweli.
Tendo la nne; Yesu anageuka sura. Tumwombe Mungu atujalie neema ya kuung’arisha ulimwengu kwa uso wa Yesu.
Tendo la tano; Yesu anaweka Sakramenti ya Ekaristi. Tumwombe Mungu atujalie neema ya kujitoa sadaka kwa ajili ya wengine.
LITANIA YA BIKIRA MARIA
Bwana utuhurumie
Bwana utuhurumie
Kristo utuhurumie
Bwana utuhurumie
Bwana utuhurumie
Kristo utusikie
Kristo utusikilize

Mungu Baba wa Mbinguni,                                        Utuhurumie
Mungu Mwana Mkombozi wa dunia                          Utuhurumie
Mungu Roho Mtakatifu                                              Utuhurumie
Utatu Mtakatifu Mungu Mmoja                                 Utuhurumie

Maria Mtakatifu                                                          utuombee
Mzazi Mtakatifu wa Mungu                                       utuombee
Bikira Mtakatifu Mkuu wa mabikira                          utuombee
Mama wa Kristo                                                         utuombee
Mama wa neema ya Mungu                                        utuombee

Mama Mtakatifu sana                                                 utuombee
Mama mwenye usafi wa moyo                                   utuombee
Mama mwenye ubikira                                                utuombee
Mama usiye na doa                                                     utuombee
Mama mpendelevu                                                      utuombee
Mama mstajabivu                                                        utuombee
Mama wa Muumba                                                     utuombee
Mama wa Mkombozi                                                  utuombee
Mama wa Kanisa                                                        utuombee
Bikira mwenye utaratibu                                             utuombee
Bikira mwenye heshima                                              utuombee
Bikira mwenye sifa                                                     utuombee
Bikira mwenye uwezo                                                            utuombee
Bikra mweye huruma                                                  utuombee
Bikra mwaminifu                                                        utuombee

Kioo cha haki                                                              utuombee
Kikao cha hekima                                                       utuombee
Sababu ya furaha yetu                                                            utuombee
Chombo cha neema                                                     utuombee
Chombo cha kuheshimiwa                                          utuombee
Chombo bora cha ibada                                              utuombee

Waridi  lenye fumbo                                                   utuombee
Mnara wa Daudi                                                         utuombee
Mnara wa pembe                                                         utuombee
Nyumba ya dhahabu                                                   utuombee
Sanduku la Maagano                                                  utuombee

Mlango wa Mbingu                                                     utuombee
Nyota ya asubuhi                                                        utuombee
Afya ya wagonjwa                                                      utuombee
Kimbilio la wakosefu                                                  utuombee
Mtuliza wenye huzuni                                                 utuombee
Msaada wa waKristo                                                  utuombee

Malkia wa Malaika                                                      utuombee
Malkia wa Mababu                                                     utuombee
Malkia wa Manabii                                                     utuombee
Malkia wa Mitume                                                      utuombee
Malkia wa  Mashahidi                                                 utuombee
Malkia wa Waungama dini                                         utuombee
Malkia wa Mabikira                                                    utuombee
Malkia wa Watakatifu wote                                       utuombee
Malkia uliyepalizwa Mbinguni                                    utuombee
Malkia wa Rozari takatifu                                          utuombee
Malkia wa amani                                                         utuombee

Mwanakodoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia,
Utusamehe ee Bwana.
Mwanakondoo wa Mungu uondoaye  dhambi za dunia,
Utusikilize ee Bwana
Mwanakondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia,
Utuhurumie.
Utuombee, Mzazi Mtakatifu wa Mungu,
Tujaliwe ahadi za Kristo.

Tuombe
Ee Bwana Mungu, utujalie sisi watumishi wako afya ya roho na mwili siku zote;  na kwa maombezi matukufu ya Maria Mtakaatifu Bikira daima, tuopolewe na mashaka ya saa, tupate na furaha za milele. Kwa Kristo Bwana wetu, Amina.

SALAMU MALKIA...
Salamu Malkia, Mama mwenye huruma, uzima, tulizo na matumaini yetu, salamu. Tunakusihi hapa ugenini sisi wana wa Eva. Tunakulilia tukilalamika na kuhuzunika bondeni huku kwenye machozi. Haya basi, Mwombezi wetu, utuangalie kwa macho yako yenye huruma. Na mwisho wa ugeni huu, utuonyeshe Yesu, mzao mbarikiwa wa tumbo lako. Ee mpole, ee mwema, ee mpendelevu, Bikira Maria.

KUMBUKA...
Kumbuka, ee Bikira Maria mwenye rehema, tokea zamani zote haitambulikani kumeachwa mwenye aliyekimbilia ulinzi wako, mwenye aliyetaka msaada wako, mwenye aliyetaka maombezi yako. Nami nimetumaini kwako, nimekimbilia kwako, ee Mama yangu, Bikira asiye na mfano, nimekuja kwako, nasimama mbele yako mimi mwenye dhambi. Mama wa Neno wa Mungu, usiyachukie maneno yangu, uyapokelee, uyasikilize, ukanifanyizie. Amina.

SALA KWA MTAKATIFU YOSEFU (mwezi wa kumi isaliwe baada ya rozari)
Ee Mt. Yosefu mwenye heri, tunakimbilia kwako katika masumbuko yetu, na kisha omba shime ya Mchumba wako Mtakatifu, tunaomba pia kwa matumaini usimamizi wako. Kwa ajili ya mapendo uliyompenda Bikira Mtakatifu Mzazi wa Mungu, na kwa ajili ya kumtunza Mtoto Yesu, twakuomba sana, utuangalie kwa wema sie tuliokuwa fungu lake Yesu Kristu, tukakombolewa kwa damu yake. Tusimamie katika masumbuko yetu kwa enzi na shime yako.
Ee Mlinzi amini wa jamaa takatifu, uwakinge watoto wateule wa Yesu Kristu. Ee Baba uliyetupenda mno tuepushe na kilema chochote cha madanganyo na upotevu. Ee kinga yetu mwezaji, utusimamie huko juu mbinguni ulipo, tunaposhindana na wenye nguvu wakaao gizani. Kama vile siku za kale ukamwopoa Mtoto Yesu katika hatari ya kuuawa, na leo hivi likinge Kanisa Takatifu la Mungu katika mitego ya adui, na katika shida yote; mtunze daima kila mmoja wetu, tufwate mfano wako, ili tupate na msaada wako, kukaa na utakatifu maisha, kufa kifo chema, na kupata mbinguni makao ya raha milele. Amina.

TUNAUKIMBILIA...
Tunaukimbilia, ulinzi wako, Mzazi Mtakatifu wa Mungu. Usitunyime tukikuomba katika shida zetu, utuokoe siku zote kila tuingiapo hatarini, ee Bikira mtukufu na mwenye baraka. Amina.

Monday, 19 September 2016

HYDROPONICS RESEARCH IN TANZANIA

                                                                                                                      
SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE   
COLLEGE OF AGRICULTURE
DEPARTMENT OF ANIMAL, AQUACULTURE AND RANGE SCIENCES
DEGREE PROGRAME; B.Sc. ANIMAL SCIENCE
RESEARCH PROJECT REPORT
TITTLE: EFFECTS OF SUBSTITUTION OF FARMER’S FEED (FF) BY HYDROPONIC SORGHUM FODDER (HSF) ON VOLUNTARY INTAKE AND GROWTH PERFORMANCE OF WEANER PIGS.
BY
JOACHIM, JOSEPH
REGISRATION NUMBER; ANS/D/2013/0032

SUPERVISOR; Prof. ABOUD. A. A. O
A SPECIAL PROJECT REPORT SUBMITTED IN A PARTIAL FULFILMENT OF THE REQUIREMENTS FOR THE DEGREE OF BARCHELOR OF ANIMAL SCIENCE OF SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE. MOROGORO, TANZANIA.
JULY 2016  

ABSTRACTS


A study was carried out to evaluate the effects of substituting Farmers Feed by Hydroponic Sorghum Fodder (HSF) on feed intake and growth performance of the weaner pigs. A total of 9 weaner pigs arranged in three replicates were assigned to three treatment diets i.e. T1, T2,and T3 corresponding respectively to 100% Hydroponic sorghum Fodder ( HSF), 50% HSF and 0% HSF (  Control in which only Farmer Feed was used). The HSF was harvested at seventh day of post germination. The feeding trial lasted for four weeks after seven days of preliminary period. Proximate analysis was done on the seven day old HSF at DASP laboratory.

Findings showed that HSF harvested at 7 days post-germination had 89.34%DM, 29.92%CP, and 7.49% CF; 1.62%Ash and 2.84%EE.

The mean DMI (g/day) for T1, T2 and T3 were respectively 491.93±78.38; 477.82±78.38  and for 496.05±96.00. The difference being not significant among treatments (P= 0.43). The ADG for T1, T2 and T3 were respectively 339.28±1.13, 351.19±1.13 and 357.14±1.38. There were no significant difference in ADG (g/day) among all treatments were p- value (P= 0.88)
It can be concluded that home grown Hydroponic Sorghum Fodder can replace Farmers Feed but one may need to consider the comparative cost of the two before adopting the HSF.






DECLARATION


I, Joachim Joseph, hereby declare that to the best of my knowledge, this report is my own work and has not been submitted for a degree award at any higher learning institution.
Name of the student……JOACHIM JOSEPH


Signature……………………………………………………………………………


Date………………………………………………………………………………..


Name of the supervisor..... Prof. ABOUD. A. A. O


Signature……………………………………………………………………………..


Date…………………………………………………………………………………





ACKNOWLEDGEMENT


It’s my proud privilege to release the feeling of gratitude to almighty God and several persons who helped me directly to conduct my research project report for the partial fulfillment of undergraduate degree program at SUA. I express my heartfull ineptness and owe a deep sense of gratitude to Higher Education Student Loan Board (HESLB) for sponsoring my special project research and entire study period and department of animal, aquaculture and range sciences for being my experimental host.
I am extremely thankful to my researcher supervisor Prof A.A ABOUD for giving his time and his guidance, encouragement, suggestion and very constructive critism have contributed immensely to the evolution of my ideas throughout the entire research period and Prof F.P LEKULE who provided me with the experimental animal (pigs) as well as FF.
I also thanks Mr. Moses DASP for his collaboration during entire period of data collection and Laboratory Mr. Alute and Michael for assisting me during proximate analysis of the fodder.
I a m also indebted to my parent, my farther JOACHIM MALKIADI for his courage and material support toward extreme successful of my research. Also my exceptional gratitude are to my beloved sister (Selina Joachim). Lastly I would like to thanks all the DASP academic stuffs for their cooperation, my friends and classmates for their support and inspirational words I do not have anything to pay you but may almighty God bless you all.




DEDICATION

This research report is dedicated to my father and grandparents who taught me that the best kind of knowledge to have is that which is learned for its own sake. It is also dedicated to my uncle who taught me that even the largest task can be accomplished if it is done one step at a time.

TABLE OF CONTENTS








LIST OF TABLES

 


LIST OF FIGURES

 




LIST OF APPENDIX








LISTOF ABBREVIATIONS


%                      percentage
ADG                 Average Daily Gain
ANF                  Anti Nutritional Factor
CF                     Crude Fiber
CF                    Crude fiber
CP                     Crude Protein
CP                    Crude protein
CP                     Crude Protein
DM                   Dry   Matter
FF                    Farmers Feed
HSFM              Hydroponic Sorghum Fodder
NFT                  Nutrient Film (flow) Technique.
Kg                    kilogram
g                        Gram
VFI                   Voluntary Feed Intake                                                                                               
DASP             Department of Animal Science and Production
EE                 Ether Extract

CHAPTER ONE


1.0 INTRODUCTION

1.1 Background information

Pig farming is the raising and breeding of domestic pigs. Pigs are raised principally as food and sometimes for their skin. Pigs are capable of being in different styles of farming: Intensive commercial units, commercial free range enterprises, extensive farming - being allowed to wander around a village, town or city, or tethered in a simple shelter or kept in a pen outside the owner’s house (Angier, Natalie 10 November 2009).

Currently the number of pigs increasing in Tanzania where we have population of 1.9 million pigs (http://www.mifugo.go.tz), but the alerting issue for pig’s production is commonly the cost of food. Feed cost in pig farming may consume up to 80% of total production cost in the enterprise.  This has often led some farmers to either underfeed their pigs or choose wrong type of low cost materials as feed for their animals. The common practice in Tanzania is to use kitchen left overs as feed for pigs. Such practice has resulted in frequent cases of food poisoning as well as poor finishing of carcasses.  In recent years farmers in Kenya have adopted a system of using hydroponic fodder for rearing pigs. Initial findings show that such practice is both economic and gives better carcasses. However Kenyan farmers have centered their feed production on barley as principal hydroponic fodder. Barley is not commonly produced in Tanzania; a factor that should call upon scientist to look for suitable alternatives.

1.2 Problem identification and justification

Pigs in Tanzania   are usually fed on kitchen leftovers. Kitchen leftovers are not consistent in quality and could be a source of infections to the pig. This practice of using kitchen left overs is one of the main reasons for poor performance in the pig industry. Standardized commercial formations are expensive and often not available. It is important that alternatives are sought to help framers raise pigs more profitably. Use of Hydroponic Fodder is proven beneficial in Kenya. No studies have been made in Tanzania to assess the feasibility and benefits of using Hydroponic Fodder for pigs production, hence the need for this proposed study.

1.3 Objectives of the study

1.3.1 General objectives

Ø  To produce and measure the nutritive quality of hydroponic sorghum as fodder for feeding pigs with the view to publishing  guidelines for on-farm production of high quality feed for pigs.

1.3.2 Specific objectives

Ø  To conduct on-farm production of sorghum hydroponic fodder as a pig feed.
Ø  To determine the nutritive quality of the hydroponically produced sorghum through proximate analysis.
Ø  To evaluate the voluntary intake of pig on sorghum fodder produced hydroponically.
Ø  To determine the growth rate of pig by feeding different level of hydroponic sorghum fodder.


CHAPTER TWO


2.0 LITERATURE REVIEW

2.1 Hydroponic Fodder Production (HFP)

Hydroponic fodder production is the practice of growing fodder without the use of soil .This technology has its origin in ancient hanging gardens of Babylon. For commercial purposes to feed livestock, it started in 1960s in Australia and has spread to the rest of the world ever since.
Hydroponics technology can be adopted using locally available materials to control temperature thereby making hydroponic farming a reality.
(Gatti, 2002).

Hydroponics fodder is young tender grass grown from a cereal grain mostly barley, in just 5-7 days.  In essence it replaces grains like Dairy meal, pig’s feeds and poultry feed concentrates.  Hydroponics fodder is considered the best livestock feed (Logsdon, Gene (2004).
Figure 1; The growth cycle for hydroponic barley fodder.Source. (Agrotek Greenhouse fodder systems, 2002)

2.1.1 Principles of Hydroponic systems:

Hydroponic system is based on an arrangement whereby plants are grown in media other than soil. Generally such media are constitute by nutrient rich solutions in which plant roots are suspend to trap nutrients required for growth and development. Hydroponics are often described as soilless culture. There are three basic components in hydroponics, these are:
  • The nutrient solution source- this is usually tank into a solution rich in plant nutrients is held. This tank is connected via pipes to the growing beds where nutrients are delivered in a form of nutrient film passing under the roots.
  • The growing beds- these are the platforms on to which the plants are placed. There are several type of arrangements for plants placements. These are arrangements are described under section 2.2.2.
  • The recirculation unit- this is usually a reservoir into which spent water is collected and then recycled into the primary (source tank) where it is replenished with new nutrient solution to maintain the right levels of nutrient strength in the circulating water.

2.2.2 Type of hydroponic systems:

 Hydroponic system can be done into different ways depending on the materials and costs. The needs to invest in starting the system require cost of the materials and their availability for the introduction of hydroponic system is concern.
In order to ensure efficiency and effectiveness of the hydroponic system principles of designing should be compact as shown below.


The basic wick:
 The Wick system is by far the simplest type of hydroponic system. This is a passive system, which means there are no moving parts. The nutrient solution is drawn into the growing medium from the reservoir with a wick. The biggest drawback of this system is that plants that are large or use large amounts of water may use up the nutrient solution faster than the wick(s) can supply it.
The non-recirculating (“air-gap”) system: The roots hang into a nutrient solution reservoir, with the upper part of the root mass suspended in air (air roots to take up needed oxygen) and the lower part of the root mass in direct contact with the nutrient solution (water and nutrient roots) .Through this system any crops can be grown. (http://www.simplyhydro.com/hydrou.htm)
The raft or floating system: Plants are suspended through Styrofoam boards which float on the surface of the nutrient solution. Oxygen must be supplied to the roots using an aquarium pump and air stones or a “venturi” system. If large Styrofoam cups, filled with perlite or other media, are used, and positioned so that most of the cup is out of the solution, no pump is needed, it is liquid or closed system best for lettuce and herbs.
The flood and drain (or ebb and flow) system: The roots grow down through an aggregate. The nutrient solution is pumped into the aggregate medium, floods the root zone for a short time, and is then allowed to drain back into the reservoir, it is the aggregate or closed system best for lettuce and herbs. (http://www.simplyhydro.com/hydrou.htm)
The top feeder system: The roots grow down through an aggregate. The nutrient solution is delivered to the top of the aggregate medium, percolates through and then either drains to waste or is recirculated into a reservoir. Its aggregate or closed system any crops can be grown.
Nutrient film (flow) technique (NFT): The roots may be growing from Rockwool blocks or through cups filled with an aggregate for support but ultimately hang into a slightly slanted tube or trough. The nutrient solution is pumped to the higher end, flows past the hanging roots and then back to the reservoir. Its liquid-Aggregate or closed system best for lettuce and herbs.
Aeroponics: The roots are suspended in an enclosed space and, at regular intervals, sprayed with nutrient solution. Its liquid or closed system best for root crops (medicinal) but any crops could be grown. (Resh 1981).

2.2.3 Advantages of Hydroponic System

  • For farm operator
Ø  Minimal labor
Ø  High yield in a small area
Ø  Control over feed quality
  • For Farm managements
Ø  Lower operating costs
Ø  Less feed waste
Ø  Reduced feed storage costs
Ø  Minimized veterinary costs
  • For the environment conservation
Ø  No fertilizers, pesticides or herbicides
Ø  Lower water consumption
Ø  Reduced impact of transporting feed
  • Reduced water usage, the hydroponic system requires a fraction of the water usage of conventional farming while still supplying high quality stock feed. It takes between 800ml to 1 liters of water to produce one kilo of fodder as compared with 80 – 90 litres of water to grow a kilo of green grass.  
  • Fast growth and early maturity; this is because the seed does not use a lot of energy and time to break the soil.
  • High Nutritional Value: Fodders that harvested when still young have high nutritional value compared to the fodders that reach maturity, the nutrients tend to decrease as the plant grow this because some nutrients get lost through evaporation also other nutrients are get used by the plant itself.
  • Marginal Land Use. Since hydroponic system involve using trays and other materials which are not soil (soil less culture) provide the room for the available land to be used for other activities while hydroponic fodder production is in progress.
  • Elimination of soil-borne diseases: like bacterial wilts and nematodes.
  • Constant Food Supply:
     Farmers using this type of fodder production are guaranteed a  consistent  supply  of  quality   fodder  365  days  of  the  year  irrespective  of  rain or   sunshine.
  • Reduced Labour requirement: Require less number of laborers because of easiness management no weed control also can be practiced at home in our residences.
Cost effective : Since it require less number of laborers  it reduce the cost for production because  cost for paying laborers will be saved hence cost for production and other managements will be low.

2.1.2 Nutritive quality of Hydroponic Fodder:

2.1.2.1 Barley

Barley is a cereal grain that is commonly used in the finishing rations of cattle in the United States and Canada. These sprouts are high in protein and fiber, and are naturally balanced in protein, fat and energy. Compared to corn, barley fodder has 95% of the energy and higher digestibility. Barley fodder is one of the most nutritious sprouts and is full of essential nutrients, vitamins and minerals. Feeding barley fodder will improve the overall health and wellbeing of the animals. (J. Dobraszczyk, Bogdan 2001).

Feeding barley fodder offers these benefits to livestock:
Reduced occurrence of digestive diseases, such as colic and bloat, stimulated immune system, naturally balanced with essential nutrients, high in fiber, energy and protein, rich in enzymes, low acid content and highly digestible

Table 1: Nutritional composition of barley fodder
CONTENT
DM1
Moisture
85.02%
Dry Matter
14.98%
CONTENT
Unit (g/KgDM )
Crude Protein
196.9
NDF (w/ Na2SO3)
285.3
ND-ICP est (w/o Na2SO3
31.5
Fat (EE)
34.2
Ash
35.6
Calcium
1.8
Phosphorus
5.9
Magnesium
2.3
Potassium
6.3
TDN
713.9
NFC
457.8
Source (J. Dobraszczyk, Bogdan 2001).

 

2.1.2.2 Wheat

Wheat (Triticum spp) is a cereal grain, originally from the Levant region of the Near East but now cultivated worldwide. . When grown hydroponically, red wheat fodder has many nutritional advantages of all the classes of wheat available in the United States, red wheat has the highest protein composition. It is also high in energy and the starches in wheat ferment quickly in ruminant digestion. (Chris Gatti in the Daily News, 2002).
Sprouted red wheat fodder has many benefits for livestock, including:
High in protein, naturally present enzymes, Lowered pH in rumen and Good source of energy

Table 2: Nutritional composition of Wheat fodder
CONTENT
DM1
Moisture
75.93%
Dry Matter
24.07%
CONTENT
Unit (g/KgDM )
Crude Protein
159.7
NDF (w/ Na2SO3)
190.7
Fat (EE)
25.1
Ash
27.2
Calcium
1.1
Phosphorus
5.4
Magnesium
2.5
Potassium
5
TDN
769.2
NFC
597.3
Source (Moon, David 2008)

2.1.2.3 Sorghum:

Sorghum is a genus of plants in the grass family. Most species are native to Australia, with some extending to Africa, Asia, Mesoamerica, and certain islands in the Indian and Pacific Oceans. One species is grown for grain, while many others are used as fodder plants, either intentionally cultivated or allowed to grow naturally, in pasture lands. The plants are cultivated in warm climates worldwide and naturalized in many places. Sorghum is in the subfamily Panicoideae and the tribe Andropogoneae.   Sorghum is a grass that is rich in antioxidants and high in fat. There are numerous varieties of sorghum and it is grown all over the world as a staple for humans and livestock. In the United States, sorghum is grown primarily for its grains that are used in livestock rations. Hydroponically grown sorghum fodder has many nutritional advantages and, in fodder production, it is commonly used as a supplement to provide more fat.  (Watson, Andrew M 1983)

Table 3: Nutritional composition of sorghum fodder.
CONTENT
DM1
Moisture
84.74%
Dry Matter
15.26%
CONTENT
Unit (g/KgDM )
Crude Protein
163.9
NDF (w/ Na2SO3)
321.3
ND-ICP est (w/o Na2SO3
26.2
Fat (EE)
46.5
Ash
34.5
Calcium
4.3
Phosphorus
4.1
Magnesium
4.2
Potassium
3.8
TDN
719.9
NFC
441.9
Source (Johnson .2009.)

2.1.3 Comparative biomass yield of Conventional Fodder Production (CFP) and Hydroponic Fodder Production (HFP).

It’s scientifically analyzed that hydroponically grown fodder has 80% increase in essential minerals, barley fodder provide 30 times more vitamin B, than milk, 22 times more vitamin C than citrus and nearly 5 times the iron of spinach.  It also has a strong resistance to diseases and fungus. Feeding fodder will also provide these benefits to pigs: earlier breeding, improved gut function, improved behavior and temperament, faster weight gain, easier weaning, higher quality meat with better texture, more piglets and Longer milking period hence strong piglets. (Agrotek Greenhouse fodder systems, 2002).

Hydroponics nutrients increase protein content from 9% when in barley seed to 25% protein after 7 days as hydroponics fodder.  Because of high protein content of the fodder Dairy Cattle are fed with hydroponics fodder plus dry pasture without concentrates like dairy meal or protein based feeds like soya, sunflower. The revolutionary hydroponic technologies are a method of growing crops using mineral nutrient solutions in water and without soil. Although hydroponics relies primarily on water, the system is efficient in managing the resource. Studies have indicated that hydroponics systems are at least 10 times more efficient in water usage in comparison to field farming. (www.Kenya’s Smallholder Dairy Farmers Invest in Hydroponic Technology).





Figure 2; pig feeding on hydroponic barley fodder. Source (Logsdon, Gene 2004)

Figure 3; production of hydroponic barley fodder. Source (J. Dobraszczyk, Bogdan 2001).




CHAPTER THREE


3.0 MATERIAL AND METHODOLOGY

3.1 Study area

The study was carried out at department of animal, aquaculture and range sciences piggery unit- SUA Morogoro, Tanzania. The farm is located between 6.850S and 37.650E E and altitude of about 550m above sea level. The area receives an average annual rainfall of  around 800mm and experiences day temperature ranging between 20 to 27° C in the coolest months (April to September) and 30 to 32° C during the hottest months (October to March).

 

3.2 MATERIALS

Materials used during the experiment:
1. Sorghum seeds
2. Complete 35 tray Hydroponic Unit
3. Nutrient solution.
4. Measuring cylinder
5. Weighing balance

3.3 Experimental animals
Nine (9) weaner pigs weighing 8 kilograms average live weight was collected from Lekule’s piggery unit at Mazimbu.

3.4 Experimental layout
Nine weaner pigs were randomly alloted to three experimtal diets for the measurement of VFI over a period of four weeks. This period was preceeded by 7 days of prelimainary period. Three animals were used as replicates for each experimental diet and another set of three animals was  used as control.

Experiemntal diets: The experimental diet is hydroponic sorghum fodder which will be used as the treatment. The fodder were harvested after seven days post-germination and fed directly to the pigs as fresh fodder.
Farmer’s Diet ; the farmers diet used during the experiment were the normal diet used by the farmer to rise his pigs. The farmer’s diet composes of maize bran, fish meal, sunflower seedcake, rice polish, cotton seedcake, iodate salt, pig premix, lime, sorghum and bone meal.

 

3.5. Data collection and analysis

The paraemeters measured during the experiment were:
Proximate analysis of the Sorghum FodderThe standard Association of Official Analytical Chemists (AOAC). AOAC proximate scheme for forage analysis was followed to determine the proximate composition of nutirent in the feeds. The analysis  will include the following parameters:
Dry Matter, Crude fibre, Crude Protein and Ether Extract
Voluntary Feed Intake (VFI)   = this was determined by arithemetic difference between quantities offered and amount left over. Amount of left over was determined by weighing the refusals just before the provision of the next feed. The pig was fed twice a day with equal feed ration between  morning and evening feed.
VFI =  (Amount offered - Amount refused).
Growth rate determination; Individual weight of the pig was measured at the begining of the experiment. The weekly weight were measured after overnight fasting.
Body weight change = final live weight - initial live weight

 

3.6 Data analysis

The experiment was arranged in a completely randomized design (CRD). The data on live weight gain and the mean values of data for feed intake of pigs collected was subjected to one way analysis of variance (ANOVA) using general linear model (GLM) procedure of SAS package to test the effect of diet.
Statistical model
Yij = µ + ti + eij    where;
Yij – Response of pigs receiving the diets
µ - general mean effects
ti – Effects of experimental diet applied on the pigs.
eij – Error term

 

 



CHAPTER FOUR


4.0 RESULTS

4.1 General overview

Nine pigs were drafted into this experiment and eight survived up to the end of the study while one pigs died. Generally, feed intake to all pigs was given according to the specific amount. Feed refusal was low, suggesting that all animals were well adapted to the fodder given and that the recorded intake represent true measurement of the feed offered. The findings on   the proximate composition of HSF fodder harvested at seven day post- germination. This section provides the chemical constitution of the experimental fodder, finding for the respective voluntary feed intake and weight gain of the pigs during the experimental period.
Figure 4; On farm HSF production at department of Animal, Aquaculture and Range Sciences by Joachim Joseph (2016)

4.2 Chemical composition

Table 4: Nutritive value of the hydroponic fodder harvested at seventh day.
COMPOSITIONS
CRUDE PROTEIN %
CRUDE FIBER (CF)%
DRY MATTER DM%
ETHER EXTRACT
ASH
Sample 1
29.34
7.56
89.13
2.84
1.55
Sample 2
30.49
7.42
89.55
2.84
1.69
Average
29.92
7.49
89.34
2.84
1.62
                                                             
Table 5; CHEMICAL COMPOSITION OF HYDROPONIC SORGHUM FODDER HARVESTED AT SEVEN DAY POST- GERMINATION (PROXIMATE ANALYSIS)

 
 




HSF chemical composition
Table 6; AVERAGE DAILY INTAKE
TREATMENTS
T1
T2
T3
P-value
MEASUREMENTS IN GRAMS
491.93±78.38
477.82±78.38 
496.05±96.00
0.43
Average daily intake.
   Table 7; AVERAGE DAILY WEIGHT GAIN
TREATMENTS
T1
T2
T3
P-value
MEASUREMENTS IN GRAMS
339.28±1.13
351.19±1.13
357.14±1.38.
0.88
Average daily weight gain.


Figure 5; average daily feed intake

Figure 6; average daily weight gain.

CHAPTER FIVE


5.0 DISCUSSION

5.1 Chemical composition

Finding from the experiment showed that HSF has higher nutritional content in terms of DM and CP. This might indicate the potentiality of the fodder as feed for pigs so as to generate the performance at lower cost. As compared to Conventional Fodder sorghum the HSF has higher yield. (Johnson .2009.)

5.2 Feed intake and weight gain

The experimental study showed that, pigs receiving 0% hydroponic sorghum fodder harvested at seven day post-germination have higher feed intake than 100%HSF and 50%HSF respectively. Under scientific analysis there is no significant difference among the treatment toward the voluntary feed intake were p-value= 0.43. The pigs receiving 0% hydroponic fodder has apparently  have higher weight gain than 50% HSF and 100%HSF respectively but scientifically under SAS there was no significant difference among the treatment on the weight gain p-value= 0.88 . The intake of 100% hydroponic sorghum fodder may be due to their palatability but weight gain for pigs fed 50%HSF was apparently higher might be due to their palatability nutritional balance.

CHAPTER SIX


6.0 CONCLUSION AND RECOMENDATION

6.1 Conclusion

From the present study it can be concluded that HSF can be used as a pigs diet because it has higher nutrients (proteins and dry matter contents) which can replace other expensive and unavailable nutrients sources like fish meal and sunflower in the farmers feed ration. Also as the experiment portray that T2 had a good result on the average weight gain than other treatments.

 

6.2 Recommendation

Farmers may be influenced to use HSF in feeding pigs, since some small farmer fail to engage in keeping pigs especially those who are in urban area due to unavailability and cost of feeds which is necessary for ensuring efficiency of pig growth. But due to the faster growing of HSF it ensure availability of fodders for pigs, however further study is needed on determining(ANF) anti -nutritional levels in the fodder harvested when still young  and effect of anti- nutritional factor in digestibility and carcass of the pigs. 





REFERENCES


Angier, Natalie (10 November 2009). "Pigs Prove to Be Smart, if Not Vain". The New York

Agrotek., 2002. ‘Greenhouse fodder systems’ Report.

Arano, C.A., 1976 in Peter Ryan, 2003., ‘The Fodder Factory’ Pamphlet

Gatti, Chris & Liz., 2002. The Daily News, Friday, August 23rd, 2002.

Chavan, J. & Kadam, S. S. (1989). Nutritional improvement of cereals by sprouting. Critical Reviews in Food Science and Nutrition. 28 (5), 401-437.

Carruthers, S. (2003). Green Feed – Livestock Fodder Shed. Retrieved from http://owll.massey.ac.nz/referencing/apa-interactive.php

Dung, D. D., Goodwin, I. R., & Nolan, J. V. (2010). Nutrient Content and in sacco Digestibility of Barley Grain and Sprouted Barley. Journal of Animal and Veterinary Advances, 9 (19), 2485-2492.

Fazaeli, H., Golmohammadi, H. A., Shoayee, A. A., Montajebi, N., Mosharraf, Sh. (2011). Performance of Feedlot Calves Fed Hydroponics Fodder Barley. Journal of Agricultural Science and Technology, 13, 367-375.

Finney, P.L. (1982). Effect of Germination on Cereal and Legume Nutrient Changes and Food or Feed Value: A Comprehensive Review. Recent Advances In Phytochemistry, 17, 229-305.
Hinton, D. G. (2007). Supplementary Feeding of Sheep and Beef Cattle. Collingwood; Australia: Landlinks Press.

J. Dobraszczyk, Bogdan (2001). Cereals and cereal products: chemistry and technology. Gaithersburg, Md.: Aspen Publishers. p. 7. ISBN 0-8342-1767-8.

Johnson Grass, U.S. Department of Agriculture, Accessed 2257 UDT, 12 March 2009.
Moon, David (2008). "In the Russian Steppes: the Introduction of Russian Wheat on the Great Plains of the United States". Journal of Global History 3: 203–225. doi:10.1017/s1740022808002611

Kohler, G.O., Elvehjem, C. A., & Hart, E.B. (1938). The relation of the grass juice factor to guinea pig nutrition. The Journal of Nutrition, 15 (5), 445-459.

Marisco, G., Miscera, E., Dimatteo, S., Minuti, F., Vicenti, A., & Zarrilli, A. (2009). Evaluation of animal welfare and milk production of goat fed on diet containing hydroponically germinating seeds. Italian Journal of Animal Science, 8 (2), 625-627.
Miscera, E., Ragni, M., Minuti, F., Rubino, G., Marisco, G., & Zarrilli, A. (2009). Improvement of sheeo welfaee and milk production fed on diet containing hydroponically germinating seeds. Italian Journal of Animal Science, 8 (2), 634-636

Morgan, J., Hunter, R. R., & O’Haire, R. (1992). Limiting Factors in hydroponic barley grass production. 8th International Congress on Soilless Culture. Hunter’s Rest; South Africa.

Myers, J. (1974). Feeding Livestock from the Hydroponic Garden. M. Sc. Thesis, Arizona State University.

Logsdon, Gene (2004). All Flesh Is Grass. Ohio University: Swallow Press. Chapter 20. ISBN 0-8040-1069-2

.Pout, Walter., ‘Locksley’, Armatree, Australia.

R & D Aquaponics, Sydney, New South Wales, Australia.

Reinders, G., 1996. ‘How to Super Charge Your Garden’. Mainly Publications, British   olumbia.

Resh, H.,1981. ‘Hydroponic Food Production’. Woodbridge Press Publishing Company, Santa Barbara.

Sneath, R. & McIntosh, F. (2003). Review of Hydroponic

Watson, Andrew M. Agricultural Innovation in the Early Islamic World: The Diffusion of Crops and Farming Techniques, 700–1100. Cambridge: Cambridge University Press, 1983. ISBN 0-521-24711-X

Williams, N., 1984. ‘Title Unknown’ Dairy Farmer, Vol 31 (4), April, 71 – 81.



APPENDICES



APPENDIX 1: ANOVA Table for daily forage intake.

WEEK 1
  R-Square     Coeff Var      Root MSE       W1 Mean
   0.528076      17.75621      85.43274      481.1429
   Source          DF         Type III SS    Mean Square    F Value    Pr > F
    TRT            2           40835.93954   20417.96977      2.80     0.1530

WEEK 2
R-Square     Coeff Var      Root MSE       W2 Mean
0.458672      18.88863      105.4593          558.3214
Source        DF            Type III SS     Mean Square       F Value    Pr>F
TRT           2             47117.35796        23558.67898     2.12       0.2156

WEEK 3
R-Square     Coeff Var     Root MSE       W3 Mean
 0.284080     19.11038      112.7171         589.8215
Source        DF            Type III SS     Mean Square    F Value    Pr > F
TRT           2             25207.30687     12603.65344     0.99      0.4337

WEEK 4
R-Square     Coeff Var      Root MSE       W4 Mean
 0.030583      20.27181      135.7668       669.7321
Source          DF           Type III SS    Mean Square    F Value    Pr > F
TRT             2            2907.517794    1453.758897     0.08      0.9253




APPENDIX 2: ANOVA Table for daily weight gain.


WEEK 1
R-Square     Coeff Var      Root MSE      WG1 Mean
 0.021313      14.64143      1.546501      10.56250
Source        DF            Type III SS    Mean Square    F Value    Pr > F
TRT           2              0.26041667    0.13020833     0.05       0.9476

WEEK 2
R-Square     Coeff Var      Root MSE      WG2 Mean
0.093851      11.86427      1.527525      12.87500
Source        DF            Type III SS   Mean Square    F Value    Pr > F
TRT            2            1.20833333    0.60416667     0.26       0.7816



WEEK 3
R-Square     Coeff Var      Root MSE      WG3 Mean
0.081836      13.16229      1.957890      14.87500
Source        DF           Type III SS    Mean Square    F Value    Pr > F
TRT           2             1.70833333    0.85416667     0.22       0.8078

WEEK 4
R-Square     Coeff Var      Root MSE      WG4 Mean
0.006331      13.32925      2.357612      17.68750
Source        DF           Type III SS    Mean Square    F Value    Pr > F
TRT           2             0.17708333    0.08854167     0.02        0.9842