MIFUGO BIASHARA!!!
*HYDROPONIC fodder*
Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika
Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika
HYDROPONIC ni sayansi/sanaa ya kuotesha mazao bora yenye
tija kwa muda mfupi zaidi bila kutumia udongo kabisa, kwa kutumia maji na virutubisho.
Hydroponic fodder Ni
nzuri zaidi kwa sasa maana Ni nafuu
kulinganisha na vyakula vingine vya mifugo
Hydroponic fodder Ni uoteshaji wa mbegu pasipo kutumia
udongo kwa muda wa siku 5- 7 tu kilo moja ya mbegu za ngano au mtama au shayiri
au Mshindi zinaoteshwa na kumwagiliwa virutubisho maalum na kuongezeka kutoka
kilo moja hadi kilo 10 za CHAKULA cha kuku.
Kwakuwa kuku mmoja hula gram kati ya 100-120gm hivyo kilo moja ya mbegu ikitoa kilo kumi za fodder zinatosha kulisha kuku wakubwa 100 kwa siku Hydroponic fodder Ni CHAKULA cha Mifugo wa aina zote chenye faida nyingi sana.

FAIDA
ZA CHAKULA CHA HYDROPONIC FODDER KWA MIFUGO
1.Ni nafuu sana kulinganisha na garama za CHAKULA cha madukani au viwandani
1.Ni nafuu sana kulinganisha na garama za CHAKULA cha madukani au viwandani
2.kina virutubisho na vitamini mara 3 zaidi ya CHAKULA cha
kawaida cha Mifugo
3.Hupunguza magonjwa ya mfumo wa hewa kama vile mafua kwa
mfugaji na Mifugo kwani hakina vumbi kabisa.
4.kina protein na Energy/nishati nyingi zaidi mara 3 ya
inayopatikana kwenye vyakula vya kawaida vya Mifugo kama kuku.
5.mifugo hukua haraka sana kutokana na wingi wa protein
ambayo hufanya Kazi ya kujenga mwili na kukua
6.CHAKULA hiki Ni laini sana na kitam kwa kuku na Mifugo
yote (palatable)
6.mmeng'enyo wa chakula hiki huongezeka kutoka 30% kwa
CHAKULA cha kawaida hadi 95% kwa CHAKULA cha hydroponiki hivyo chakula kingi
kutumiwa na mwili wa mifugo na kupunguza kinyesi na usumbufu wa usafisaji banda
7.kinyesi hupungua na kuwa kati ya 5%-10% tu kwani CHAKULA
kingi humeng'enywa na kutumiwa na mwili wa Mifugo
8.mazao kama mayai au maziwa huongezeka kwa 40% kulinganisha
na chakula cha kawaida.
9.kiini cha yai la kuku anayelishwa hydroponic fodder huwa
cha njano sana hata kama Ni kuku wa kisasa
10.Hupunguza garama za ufugaji kwenye manunuzi ya chakula
kwa 50-75% hivyo kuongeza faida.
11.Huhitaji kiasi kidogo cha maji katika kuzalisha
ukilinganisha na vyakula vingine!!!
12.Hupunguza nguvu kazi watu katika kusimamia uzalishaji wa
chakula cha mifugo.
13.Huhitaji eneo dogo kuzalisha chakula kingi
14.Utazalisha kwa wakati kulingana na soko la mifugo husika
15.Haitegemei hali ya hewa unaweza kuzalisha mda wote kwa
vipindi vyote.
1. Fodder growing: https://www.youtube.com/watch?v=2BYvgIlJ2Fo
2. Fodder :
https://www.youtube.com/watch?v=iDQtIjPQni8
3. Hydroponic Fodder :
https://www.youtube.com/watch?v=KE7iSqQ9HIE
Nitafute kwa Namba
0762-96 94 63(WhatsApp)
josejoachim01@gmail.com
Karibuni sana
Natoa elimu na ushauri kwa gharama nafuu naweza kufundisha online au ukaja nilipo/ nifike shambani kwako.
0762-96 94 63(WhatsApp)
josejoachim01@gmail.com
Karibuni sana
Natoa elimu na ushauri kwa gharama nafuu naweza kufundisha online au ukaja nilipo/ nifike shambani kwako.
Usingoje
kesho nitafute Leo ili uweze kufaidika kupitia uwekezaji mdogo tu wa mifugo.
Naweza nikatoa maelekezo online kupitia simu kwa faida yako.
Tuungane kuinua uchumi wa nchi yetu kufikia uchumi kati na viwanda kwa ufugaji wa kisasa usiohitaji gharama kubwa ya malisho!!!
Naweza nikatoa maelekezo online kupitia simu kwa faida yako.
Tuungane kuinua uchumi wa nchi yetu kufikia uchumi kati na viwanda kwa ufugaji wa kisasa usiohitaji gharama kubwa ya malisho!!!
IMEANDALIWA NA JOSEPH JOACHIM- *ANIMAL SCIENTIST*.